
KLABU ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 5-1
dhidi ya Klabu ya Ngaya ya Visiwani Comoro.
Magoli ya Yanga yamepachikwa na Zulu dakika 43, Simon Msuva
dakika ya 45, Chirwa dakika ya 59, Amis Tambwe dakika ya 65 na Thaaban Kamusoko
dakika ya 7. Huku upande wa Ngaya, bao lao la kufutia machozi limepachikwa na
Said Khalfan dakika ya 66
No comments:
Post a Comment