
Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia na wenzake
Kieran Gibbs na Hector Bellerin baada ya kuifungia mabao yote mawili The
Gunners katika ushindi wa 2-0 jioni ya leo dhidi ya Hull City Uwanja wa
Emirates, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Sanchez alifunga bao la
kwanza dakika ya 34 na la pili dakika 90 na ushei.
No comments:
Post a Comment