
MUDA mfupi
tu baada ya Diamond kuachia trak ya KIDOGO kupitia mitandao yake ya
kijamii,staa wa kundi ya P square Peter Okoye amefunguka juu ya wimbo huo huku
akisema kuwa ni wimbo mzuri kwao ambao wamewahi kuufanya.
Kupitia
ukurasa wake wa Instagram,Peter amesema wimbo huo huenda ukafnaya vema zaidi na
kuzidi kushika kasi ndani na nje ya nchi.
Hata hivyo
kwa upande wa mashabiki wa nyota huyo wamedai kuwa wimbo huo umewakosha huku
wakitanabaisha kuwa huenda ukatikisa na kuzoa tuzo mbalimbali za nadni na nje
ya Afrika
Source: blogu ya wananchi
Source: blogu ya wananchi
VIDEO:
No comments:
Post a Comment