
Msanii wa muziki Diamond Platnum Juamosi hii amefanya
sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo
ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani
kwao, Madale jijini Dar es Salaam.
Nillan alizaliwa nchini Afrika Kusini, yalipo makazi ya
mwanamama Zari na tangu kuzaliwa kwake,
hakuwahi kuoneshwa sura hadharani hata
siku moja mpaka siku ya arobaini yake. 









No comments:
Post a Comment