Katika kuongeza hamasa kwa wachezaji wa Singida United, mkuu
wa mkoa huo Dkt. Rehema Nchimbiameibuka kwenye kambi ya timu na kutoa kiasi cha
shilingi 500,000 kama hamasa ya kuhakikisha timu inapata ushindi.
“Mimi ninawafahamu wanangu kwamba mnaweza, hiyo 500,000
niliyowapa ni sadaka ili mtuombee kwa Mungu viongozi wenu na watendaji wote.” –
Dkt. Rehema Nchimbi
“Sasa ninatoa sadaka ili mtuombee kwa Mungu atusamehe ili
uwepo wake uwepo ili tuweze kuvuka vizuri.”
No comments:
Post a Comment