Mtoto Bradley Lowery akiwa na Defoe akisubiri muda utimie

Bradley na Defoe
SHABIKI wa Sunderland mtoto wa miaka mitano Bradly Lowery,
aliomba muda utakapo timu mauti yamfike akiwa mikononi mwa Defoe.
Madaktari wamethitisha kuwa muda wowote
kutoka hivi sasa mtoto Brandley ataaga dunia kutokana na kuugua kwa muda mrefu
maradhi ya kansa.

Bradley akiwa uwanjani
Aidha meneja wa klabu hiyo bwana David Moyes amesema Bradley
ni shabiki mkubwa sana wa klabu hiyo na amemchagua mchezaji huyo kwa kuwa ndiye
mchezaji mwenye heshima kubwa sana kwenye klabu hiyo.
“Bradley loves Jermian and boys,” alisema meneja huyo
wakisubiri muda utimie.
Hivyo Defoe amelala Bradley na muda wowote kutoka hivi sasa
mtoto Bradley hatutokuwa naye duniani.
No comments:
Post a Comment