Eric Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Wednesday, October 26, 2016

Eric Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili

Mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ivory Coast, Eric Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kuumia goti.
Hili ni pigo kwa Jose Mourinho ambaye Bailly amekuwa ni beki tegemezi katika kikosi chake cha United.

No comments:

Post a Comment