Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima
akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongoza na
wafuasi wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,ambaye watuhumiwa wote 65
aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya,aliwataka kufika kesho Ijumaa
saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima
akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongozana na
wafuasi wake, kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,ambaye watuhumiwa wote
65 aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya,aliwataka kufika kesho
Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima
akionekana kufurahia jambo wakati akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa
7:30 mchana akiwa ameongoza na wafuasi wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul
Makonda,ambaye watuhumiwa wote 65 aliowataja jana katika sakata la dawa za
kulevya,aliwataka kufika kesho Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa
mahojiano zaidi.
No comments:
Post a Comment