Alichoandika Mkenya Huddah baada ya kusikia Ishu za dawa za kulevya Dar es salaam. - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Tuesday, February 7, 2017

Alichoandika Mkenya Huddah baada ya kusikia Ishu za dawa za kulevya Dar es salaam.


Huddah ni Mrembo wa Kenya ambaye alichukua headlines za nchi hiyo baada ya kuiwakilisha kwenye shindano la BIG BROTHER AFRICA 2014 nchini Afrika kusini ambapo ameona kinachoendelea kwenye ishu ya dawa za kulevya Dar es salaam na kuyaandika yafuatayo.

“Yani in Dar es salaam kila msanii au INSTAGRAM celebrities wote wanapiga unga? DUH! How? naskia na hewa ya Tanzania ina Unga full, no oxygen! Pale ni kuwa high 24-7 😂
Nasihitaji kiki, hizo kiki sijaona aliyenunua nyumba au gari nazo 😂
Anyways, Handsome boy Paul Makonda should come to Kenya too 😂 ”

Usiache kutuandikia maoni yako juu ya hili.

No comments:

Post a Comment