Januari ya Tarehe 25 mwaka 2017, mchezo kati ya Kagera Sugar na Singida Utd uliochezwa katika kiwanja cha NAMFUA mkoani Singida, Mchezo uliokuwa mgumu pande zote kwa dakika 90 na 5 za nyongeza, muamuzi wa mchezo alijikuta akifika katika hatua za Matuta{penati}.
Licha ya timu zote kuonyeshana ubabe katika dakika 90 za mchezo, ukweli ulikwenda kudhihirika katika mikwaju ya Penati.
Singida Utd walipata mikwaju mitatu{3}, kati ya mitano, dhidi ya waasimu wa Kagera Sugar walioshinda mikwaju minne {4} kati ya Mitano
NIMEKUSOGEZEA VIDEO MTU WANGU TAZAMA MAGOLI KIPA WALIVYOWEZA KUDAKA PENATI KIUFUNDI NA USTADI WA HALI YA JUU, BONYEZA HAPA CHINI.
No comments:
Post a Comment