
Rais wa 45 wa Marekani, Donald Trump amefanya safari yake ya
kwanza akiwa rais kwa kutumia ndege ya
Rais, Air Force One na helkopta
ya Rais, Marine One Januari 26.
Trump amefanya safari akitoka Ikulu iliyopo Washington DC na
kwenda Jimbo la Philadelphia umbali wa takribani maili 150, jana Alhamisi
alipokwenda wenye mkutano wa mwaka na baadaye majira ya mchana kurudi tena
Washington DC

Wiki iliyopita Trump alitumia Air Force One wakati akitoka
New York kwenda Washington DC kwa ajili ya kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo.
No comments:
Post a Comment