Rais Donald Trump Kuanza Kujenga Ukuta wa Kuitengenisha Marekani na Mexico. - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Thursday, January 26, 2017

Rais Donald Trump Kuanza Kujenga Ukuta wa Kuitengenisha Marekani na Mexico.


MAREKANI: Rais Donald Trump asema Serikali yake itaanza kushughulikia ujenzi wa ukuta kati ya nchi yake na nchi jirani ya Mexico. - Meya wa mji wa Mexico City Miguel Espinosa amesema kujengwa kwa ukuta huo, Marekani itajitenga yenyewe na Amerika ya kusini yote.


Mpaka sasa rais wa Mexico amekataa kuchangia gharama za ujenzi huo kama Rais Trump alivyotaka.

No comments:

Post a Comment