
Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO
yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na
magari 150 imetia nanga
Bandari ya Tanga leo.
Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za
kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga
mara moja kwa wiki.






No comments:
Post a Comment