Rais mpya wa Marekani, Donald Trump aliungana na First Lady
Melania Trump kwenye hafla ya kusherehekea kuapishwa kwake, Ijumaa hii.
Aliungana na wanajeshi wa nchi hiyo mjini Washington.
Familia yake pamoja na Makamu wake, nayo ilikuwepo. Kwenye hotuba yake fupi
kwenye hafla hiyo, Trump ameahidi mabadiliko makubwa kwenye sera za nchi yake.
Tazama picha zaidi.Rais mpya wa Marekani, Donald Trump aliungana na First Lady
Melania Trump kwenye hafla ya kusherehekea kuapishwa kwake, Ijumaa hii.
Aliungana na wanajeshi wa nchi hiyo mjini Washington.
Familia yake pamoja na Makamu wake, nayo ilikuwepo. Kwenye hotuba yake fupi
kwenye hafla hiyo, Trump ameahidi mabadiliko makubwa kwenye sera za nchi yake.
Tazama picha zaidi.
No comments:
Post a Comment