Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018. Anayeshuhudia kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu
Mohamed Chande Othman.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Profesa
Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es
salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Anayeshuhudia kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimkabidhi vitendea kazi baada
ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18,
2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan
na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu
Wizara ya Sheria na Katiba Profesa Sifuni Mchome na Naibu wake Mhe. Amon
Mpanju wakiwa katika picha ya pamoja na
majaji wa mahakama ya Rufaa, Majaji wa Mahakama kuu baada ya kumuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli, katika picha ya pamoja na majaji wa mahakama ya Rufaa na Majaji wa
Mahakama kuu baada ya kumuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli, katika picha ya pamoja na watendaji wa Mahakama baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatano Januari 18, 2018.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment