Ikiwa
imesalia siku moja kabla ya mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja kuanza hapo
kesho September 6 2016 leo Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa amekutana na Spika wa bunge Job Ndugai pamoja na viongozi
wengine katika ofisi za bunge zilizopo Dodoma kwa lengo la kufanya kikao cha
maridhiano ya vyama vyote.
picha zao tatu wakiwa katika mazungumzo;
spika wa Bunge akiongoza maridhiano
Waziri mkuu Kasimu Majaliwa akimsikiliza Spika wa Bunge
Kutokea kushoto Waziri Jenista Mhagama, Spika wa bunge Job Ndugai na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
No comments:
Post a Comment