Asubuhi ya
August 29 maeneo ya kona ya stendi mpya iliyopo Singida mjini imetokea ajali ya
basi kampuni ya SATCO na gari ndogo aina ya PRADO… Gari ndogo hiyo imegongwa na basi
hilo lililokuwa likitoka Dodoma.
Kwa mujibu
wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa
ikiendeshwa na mwanaume ambaye hakuweza kuzurika na MWAKASEGE BLOG bado inafuatilia kwa kina taarifa kutoka jeshi
la polisi.

No comments:
Post a Comment