Mwimbaji
Ruby ambae alikuzwa na kulelewa na Clouds FM Baada ya Kufanya vizuri katika
mashindano ya Fiesta Diva Nyota miaka kadhaa iliyopita amejikuta katika ugomvi
wa kimaslahi na walezi wake Clouds FM baada ya kushindwana malipo katika
Matamsha ya Fiesta yanayoendelea hivi sasa..
Ruby kwa
sasa inaonekana amekimbili kwa washindani wa Clouds FM ambani ni EFM Radio,
Radio hiyo mpya ambayo ni washindani wa Clouds FM kwa jijini Dar es Salaam
wamechukua fursa hiyo na sasa wanamtumia katika matamasha yao ya Mziki Mnene
Sehemu mbali mbali...
Je unaona ni
sahihi Ruby Kufanya hivyo?
No comments:
Post a Comment