Shirikisho
la soka barani Ulaya licha ya kuchezesha droo ya mechi za play offs za Ligi ya
Mabingwa Ulaya, walitangaza majina matatu ya wachezaji wa waliofanikiwa kuingia
katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora barani Ulaya 2015/2016.
UEFA wamewatangaza
wachezaji watatu ndio wamefanikiwa kuingia katika TOP 3 ya mwisho kati ya
wachezaji 10 waliokuwa wamechaguliwa mwanzoni, Cristiano Ronaldo, Gareth Bale
wa Real Madrid na Antoinne Griezman wa Atletico Madrid ndio wamefanikiwa
kuingia TOP 3.
Washiriki
wengine 7 na point zao walioshindwa kuingia TOP 3
Waandishi wa
habari kutoka nchi 55 wanachama wa UEFA wanatarajiwa kupiga kura August 25 2016
kumchagua mchezaji bora wa UEFA kwa msimu wa 2015/2016.
No comments:
Post a Comment