Leo August
6, 2016 ni siku aliyozaliwa mtoto wa staa wa bongo fleva Diamond Platnumz
ambapo watu wengi wamemtakiwa mtoto huyu kila la kheri kwenye Birthday yake,
bongo movie staa aliyewahi kuwa na mahusiano na Diamond ‘Wema Sepetu‘ hakuwa
nyuma kwenye salamu za heri ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyu,
Wema Sepetu
aliandika hivi instagram>>>“ Happy Birthday Princess
Tee…???????????????????????? May Allah bless your precious lil self… You will
definitely turn out to be a phenomenal young woman “
No comments:
Post a Comment