Mwanaume
mmoja huko katika Kaunti ya Machakos amemkata mkewe mikono yote miwili sababu
ya kukaa nae kwenye ndoa kwa miaka 7 bila kupata ujauzito.
- Mwanaume
huyo tayari amekamatwa na Polisi na amefunguliwa mashtaka ya kusudio la kutaka
kuua
>>>In one of the
most atrocious cases of domestic violence, a man chopped off the hands of his
wife of seven years because they could not have children.
Jackline
Mwende, 27, of Kathama Village, Masii, in Machakos County, is also nursing
injuries in her head and neck after her husband, Stephen Ngila Thenge, 34,
attacked her with a panga on July 24.
On Sunday,
Ms Mwende, a shopkeeper, told the Nation that before the attack, the couple had
been separated for about three months because their union had not produced a
child.
No comments:
Post a Comment