MV MAGOGONI KURUDI ‘MZIGONI’ MWEZI HUU - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Friday, August 5, 2016

MV MAGOGONI KURUDI ‘MZIGONI’ MWEZI HUU

magogoni
SERIKALI imesema ukarabati wa kivuko cha Mv Magogoni jijini Dar es Salaam, upo katika hatua za mwisho na ifikapo katikati ya mwezi huu kitaanza tena kutoa huduma.


Kivuko hicho kina uwezo wa kubeba abiria 2000 na magari 60 na kinatoa huduma eneo la Feri na Kigamboni.

No comments:

Post a Comment