
LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema
Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka
kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi anavyojali
na mwenye huruma nyingi.
Akiteta na Amani hivi karibuni, Wema alisema atajisikia
fahari sana endapo mtoto wake wa kwanza angezaa na Idris kwa kuwa amemuonesha
dhahiri kuwa ni baba bora.
ANGALIA GARI MPYA YA KIFAHARI ILIYOTENGENEZWA KWA TEKNOLOJIA YA JUU ZAIDI, BONYEZA HAPA CHINI KUONA:
No comments:
Post a Comment