
Taarifa za
mauaji wilaya kiteto Mkoa Manyara binti knobs ajulikanae kwa jina la Eva aliyekuwa akifanya kazi Pccb
(Takukuru) ameuawa na mtu asiyefahamika nyumbani kwake na Kulawitiwa na kisha
Kuuwawa. upelelezi bado unaendelea na Mshukiwa mmoja mikononi mwa polisi kwa
upelelezi zaidi. M/mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amin...
Chanzo:Udaku special
No comments:
Post a Comment