
Majambazi
wapatao 4 maeneo ya Buguruni Malapa yakiwa na bodaboda yalimvamia dada na
kumtaka atoe fedha dada akaambia hataki purukushani na kuwafungulia wachukue
fedha,
>>>dada
akaingia kenye gari na majambazi wakachukua fedha kiasi cha 420,000, baada ya
kuchukua wakaondoka na bodaboda zao kisha dada akawasha gari na kuwagonga baada
ya kugongwa wakaruka kwenye pikipiki wakaacha silaha aina ya SMG na wananchi
walijaribu kuwakimbiza lakini hawakufanikiwa Video:
No comments:
Post a Comment