
Taarifa
ambayo imetolewa na Mufti Mkuu wa Tanzania Zubeir Bin Ally muda mfupi uliopita
ni uthibitisho wa sikukuu ya Eid ul Fitr
ambapo Waislam wote walikua wakisubiri kuandama kwa mwezi,Kwenye taarifa yake
Muft Zubeir amesema Mwezi huo umeonekana sehemu mbalimbali za nchi yetu ya
Tanzania.
Amewaomba
pia waislam kujitokeza kwenye misikiti mbalimbali kwa ajili ya ibada ya Eid ul
Fitr.
No comments:
Post a Comment