Tarajia hii collabo ya Vanessa Mdee na msanii kutoka Nigeria! - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Wednesday, July 13, 2016

Tarajia hii collabo ya Vanessa Mdee na msanii kutoka Nigeria!



Baada ya kufanya collabo na KO wa South Africa, kituo cha Mtv Base kimeripoti collabo nyingine ya mrembo Vanessa Mdee  na hit maker wa mdundo wa My Woman Patoranking, mdundo ambao utatayarishwa na producer Dj Maphorisa,

No comments:

Post a Comment