
Kumekuwepo
na taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa
aliyekuwa mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi, Hafsa Mossi
amefariki dunia.
Taarifa
kutoka Burundi zinaeleza kuwa serikali ya nchi hiyo tayari imethibitissha
kutokea kwa kifo cha mbunge huyo wa EAC na ikielezwa kuwa Hafsa Mossi amekutwa
na mauti baada ya kupigwa risasi katika eneo la Buja, Burundi.
No comments:
Post a Comment