
‘Ni kweli
nataka nirudi darasani nisome lugha ya kingereza kwani ni lugha ambayo imekuwa
ikinipa changamoto nyingi mno, kwa sasa ndo niko kwenye mchakato kwani unajua
mwisho wa siku sitaki niaibike pale nitakapokutana na wakina Beyonce kwahiyo
hii ni heshima kubwa kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva’- Shilole
No comments:
Post a Comment