Rais Magufuli Aibua Ufisadi Mwingine wa Mabilioni ya Shilingi Ndani ya Jeshi la Polisi - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Monday, July 18, 2016

Rais Magufuli Aibua Ufisadi Mwingine wa Mabilioni ya Shilingi Ndani ya Jeshi la Polisi

Rais Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo vilinafanya jeshi hilo kukosa heshima katika jamii huku akisema 
kuwa ana taarifa za jeshi hilo kuingia katika makubaliano ya kifisadi ya mabilioni ya shilingi kwa ajili ya kununua sare za jeshi hilo.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo alipokuwa akiwaapisha makamishna wa Jeshi la Polisi waliopandishwa vyeo na kuongeza kuwa ni jambo la kusikitisha kwamba mabilioni hayo yalitolewa kwa siku moja lakini hadi leo hakuna hata sare moja ya iliyonuuliwa.


JE? ULIPITWA NA MSG NZURI NA TAMU ILIYOANDIKWA NA MAMA TIFFAH????? BONYEZA HAPA CHINI KUISOMA!

No comments:

Post a Comment