
Jenerali
Erdal Ozturk (katikati) aliyekuwa kinara wa jaribio akiwa mikononi mwa
wananchi.
Jenerali
Erdal Ozturk aliyekuwa kinara wa jaribio lililoshindikana la mapinduzi ya rais
nchini Uturuki amekamatwa, huku viongozi wengine wa mapinduzi hayo, saba
wakifanikiwa kutoroka na kukimbilia nchi jirani ya Uturuki kwa kutumia
Helikopta.
Jenerali
Erdal Ozturk (kulia) enzi akiwa kazini.
Hata hivyo
viongozi hao waliokimbilia nchini Uturuki wakiwemo mameja wawili, makapteni
watano na raia mmoja wamekamatwa nchini humo kwa kile kilichoripotiwa kuingia
nchini humo bila kibali.Jenerali Erdal Ozturk aliyekuwa kamanda mkuu wa kikosi
namba tatu tayari amekamatwa na kuwekwa mahabusu wakati akisubiri hatma yake na
huenda akanyongwa ikiwa atapatikana na hatia hiyo.
ANGALIA VIDEO HII ALAFU NIAMBIE INAKUKUMBUSHA WAPI..CHEKI HAPA USISAHAU KUSUBSCRIBE ILI KUPATA VIDEO NYINGI ZAIDI!
No comments:
Post a Comment