July 23 2016
wajumbe na wanachama wa chama cha mapinduzi CCM wameungana pamoja na baadhi ya
wanachama wa vyama vingine vya upinzani kushuhudia tukio la kumpitisha Rais
John Pombe Magufuli kuwa mwenyekiti wa CCM kuchukua nafasi ya mstaafu Dk.
Jakaya Kikwete.
Moja ya
wanachama wa upinzania mbaye kaonyesha ushiriki wake ni pamoja na aliyekuwa
Mbunge wa Vunjo Augustine Mrema ambaye pia amekuwa kivutio cha wengi. Hapa
nimekusogezea picha 8 za kwanza wakati kazi ikiendela.
Rais mstaafu
awamu ya tatu Benjamin Mkapa
Mbunge wa
zamani wa jimbo la Vunjo Augustine Mrema
Mwenyekiti
wa UDP John Cheyo





No comments:
Post a Comment