July 22 2016
ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa
vichekesho nchini zikionyesha taarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya
wachekeshaji maarufu nchini Tanzania,
Ismail Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’ kutoka kwenye maigizo ya Vituko
Show. Taarifa za awali zinadai kuwa amefariki akiwa nyumbani kwao Masasi,
Mtwara,
Friday, July 22, 2016
Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba, R.I.P Mchekeshaji Kundambanda
Tags
# HABARI
Tupe Maoni Yako (Matusi Hapana)
Mwakasege Blog
USIACHE KU LIKE PAGE YETU KWAKUBONYEZA LIKE BUTTON
About siasa
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Mahala popote ulipo, unaweza kututumia Habari kupitia namba yetu ya whatsap +255756584473.
No comments:
Post a Comment