Stori:
Hamida Hassan, Ijumaa
Dar es
Salaam: Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ anadaiwa
kuwa na msururu wa wanaume aliotoka nao huku ndani yake wakiwemo mastaa kibao,
Ijumaa limenyetishiwa.Shosti wa Amber Lulu aliyeomba jina liwekwe kapuni
alisema kuwa, kutokana na figa yake, mdada huyo amekuwa akisarandiwa na midume
kibao na kila anayekuwa naye akimuacha, anahamia kwa mwingine.
KUONA PICHA ZOTE ==>BONYEZA HAPA
No comments:
Post a Comment