Yawezekana
kabisa kuna matukio umeshawahi kuyasikia au hata kuyashuhuduia mwenyewe na
yakakushangaza, basi hii pia liongezee kwenye hayo mengine.
Geah Habib
katuletea hii ya Mbwa kuzaa Nguruwe.
Mbwa mmoja
Iringa amezaa mnyama aina ya Nguruwe, akielezea tukio hilo mwenye mbwa amesema
waligundua kwamba mbwa huyo amezaa ngurume tangu juzi, baada ya mume na watoto
wake kumjulisha hali hiyo na mara baada ya kushuhudia tukio hilo alitoa taarifa
kwa uongozi wa mtaa huo pamoja na majirani huku akionesha kushtushwa na tukio
hilo.
Daktari wa
mifugo, Anthony Mwangolombe mara baada ya kupata taarifa kuhusu suala hilo
walifika eneo la tukio na amesema kuwa jambo hilo hajawahi kuliona likitokea
kwa mbwa.
KAMA HUKUONA YALE MAUAJI YA ASKARI 6WA KENYA NIMEKUSOGEZEA MTU WANGU!!
KAMA HUKUONA YALE MAUAJI YA ASKARI 6WA KENYA NIMEKUSOGEZEA MTU WANGU!!
No comments:
Post a Comment