Picha hizo
zilisambaa Jumatano hii baada ya msichana huyo kuziweka kwenye mitandao ya
kijamii. “We will check the matter,” alisema msemaji wa serikali Bongani
Ngqulunga alipoulizwa kuhusu picha hizo.
Msichana
huyo mwenye miaka 19 anaitwa Lindokuhle Dlamini. Kwenye picha hizo aliandika:
He is not just a blesser, we are inlove and I am grateful for all that he has
done for me, much love. Xo xo.”
Blesser
inamaanisha ni mtu mzima anayehonga wasichana na kuwa na uhusiano nao. Akaunti
yake ya Facebook imefutwa.
Hata hivyo
mtoto wa kiume wa rais huyo, Edward amedai kuwa msichana huyo ni dada yake na
kwamba akaunti iliyopost picha hizio ni feki. Baadhi ya magazeti likiwemo
Citizen‚ yamesema yaliambiwa na wasomaji wake kuwa ni kweli binti huyo ni mtoto
wa Zuma.
Hata hivyo
Makamu wa Rais wa Economic Freedom Fighters Floyd Shivambu alikosoa kwa
kutweet: Okay cool? What kind of Grand Fathers and Fathers kiss their Grand
Daughters & Daughters like this? Perverts??”
Serikali
bado haijatoa majibu kama ilivyoahidi.
Chanzo: BONGO5.COM
KAMA ULIPITWA NA TAHARIFA HII BASI NIMEKUSOGEZEA SOMA HAPA:
No comments:
Post a Comment