Ni Usiku wa
June 2, 2016 ambapo msanii Shetta aliingia kwenye headlines baada ya kufanya
sherehe ya kuwashukuru mashabiki kuupokea wimbo wake mpya uitwao Namjuapamoja
na kutambulisha uongozi wake mpya.
Hizi ni
baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo
No comments:
Post a Comment