
Cyrill
Kamikaze ameachia ngoma mpya anayodai amemshirikisha msanii wa WCB, Raymond.
Hata hivyo WCB imedai kutoutambua wimbo huo.
Meneja wa
Diamond na mmoja wa wakurugenzi wa bodi ya label hiyo, Sallam Sharafflakini
amedai kuwa wimbo huo uliandikwa na Ray kitambo baada ya kuombwa na rapper
huyo.
Kutoka mkono
wa kushoto mwanamuziki wa Mafikizolo ‘Theo Kgosinkwe’, Meneja wa Diamond
Platnumz ‘Sallam Sharaff’, Mwanamuziki Raymond, Mwanamuziki Diamond Platnumz na
kwanyuma ni mwanamuziki Harmonize.
“Hakuna Collabo
na Raymond, alimuomba Ray amuandikie na apewe melody siku nyingi sana! Hiyo
nyimbo hatuuitambui,”
No comments:
Post a Comment