
Akizungumza
na E news ya East Africa Tv mkuu wa Bagamoyo sobber house amesema chanzo cha
Chidi Benz kuondoka kwenye kituo chao ni kutelekezwa na waliompeleka.
Anasema
tangia Chidi apelekwe pale hakukuwa na huduma zozote zinazotumwa kama
walivyokubaliana na kila walipokuwa wanamtafuta Babu Tale hakuwa tayari kupokea
simu wala kutoa ushirikiano.
Anasema pia
kukosekana kwa vitu muhimu ndio vilifanya Chidi aondoke na wala hakutoroka.
Japo Sijajua
ni vitu gani walikubaliana awe anapeleka.
My take,
kama ni kweli hii ishu basi Tale amekosea sana hakufanya uungwana. Ni kama
kamtumia Chidi kupata kick
TUPE MAONI YAKO JUU YA HILI !!
No comments:
Post a Comment