
Katika
mahojiano na Take One ya Clouds TV na
Zamaradi Mketema, Jackline Wolper ameeleza mambo kadhaa kuhusiana na penzi lake
la Harmonize, Diamond ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake anachukuliaje mahusiano
yao?
“Diamond
rafiki yangu sana ni mtu ambae nategemea hata kuja kufanya nae filamu, Diamondi
ni rafiki yangu sana licha ya watu wanaweza wasielewe, lakini sasa hivi Diamond
ni baba mkwe wangu,
“kuhusu
Harmonize nampenda kwa sababu ana hofu ya mungu, ana heshima sana mwisho hawezi
kufanya maamuzi bila kuomba ushauri, katika kunipenda mimi alipiatia pia kuomba
ushauri kwa Diamond ambaye ni boss wake kaka yake na kupewa ruhusa kwa hiyo
Baraka zimetoka kwa Diamond mwenyewe”
No comments:
Post a Comment