
Bunge
limechafuka muda huu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuomba
mwongozo wa kujadili hoja ya wanafunzi zaidi ya 700 waliofukuzwa chuoni
ijadiliwe kama hoja ya dharura.
Naibu spika
akaendeleza ubabe hivyo wabunge wa vyama vyote walisimama na kutoka nje.
No comments:
Post a Comment