Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
(katikati) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Dkt.
Hassan Abbas (kushoto) pamoja na maafisa wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA),
wakia katika oparesheni maalum ya kushtukiza la kukamata wafanyabiashara
wanaodurufu kazi mbalimbali za sanaa nchini, katika eneo la Karikoo jijini Dar
es salaam leo.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
(kushoto) akiongoza msafara huo wa kufanya oparesheni maalum ya kushtukiza la
kukamata wafanyabiashara wanaodurufu kazi mbalimbali za sanaa nchini, katika
eneo la Karikoo jijini Dar es salaam leo.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
akiangalia baadhi ya DVD feki zilizokuwepo katika moja ya maduka ya Kariakoo,
Jijini Dar es salaam leo.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
akiingia katika moja ya stoo za Duka mojawapo linalouza na kudurufu kazi za
wasanii mbalimbali nchini.
No comments:
Post a Comment