Wachezaji wa Yanga wakiwa kwenye ndege ya shirika la Rwanda
Air kwa ajili ya safari ya kuelekea Kigali nchini Rwanda
Kikosi cha Yanga SC kinatarajiwa kuondoka Alfajiri ya kesho
asubui kuelekea nchini Comoro kwenye mji wa Moroni tayari kwa mchezo wake wa kwanza
ya Ligi ya mabingwa dhidi ya Ngaya.
Msafara utakuwa na wachezaji ishirini(20) benchi la ufundi
litakua na watu nane (8) pamoja na viongozi wawili (2).
Wachezaji wanaoondoka kesho ni;
Deogratius Munish, Ally Mustafa, Deud Kaseke, Haruna
Niyonzima, Thaban Kamusoko, Amissi Tambwe, Mwinyi Haji, Saimon Msuva, Geoffrey
Mwashuiya, Saidi Makapu, Hassan Ramadhani, Juma Mahadhi, Yusuph Mhilu, Obrey
Chirwa, Nadir Haroub, Justine Zulu, Kelvin Yondani, Juma Abdul, Oscar Joshua na
Emmanuel Martin.
Benchi la ufundi wanaoondoka ni:
George Lwandamina, Noel Mwandila, Edward Samwel Bavu, Juma
Pondamali, Juma Zakaria Omary, Hafidhi Saleh Suleiman, Mohamed Omary Mwaliga na
Jacob Sospeter Onyango.
Viongozi wanaosafiri.
Mussa Mohamed Kisoki (TFf) na Paul Malume (Yanga SC)
Baada ya kikosi kuwasili kinatarajiwa kufanya mazoezi yake
kesho jioni kwenye uwanja utakaochezewa mchezo siku ya Jumapili.
Imetolewa na Idara ya Habari na mawasiliano.
Young Africans Sports Club
10.02.2017
No comments:
Post a Comment