
Ni siku 3 toka mwimbaji wa bongofleva T.I.D aachiwe kwa
dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya ambalo lilianzia kwenye orodha
aliyoitaja mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul .
Makonda.Leo February 11 2017 Mkuu
huyo wa mkoa amemuita T.I.D nyumbani kwake Masaki na kufanya nae mazungumzo
ikiwa ni siku mbili zimepita toka Makonda amsifie T.I.D kwa kukiri kuwa tayari
kusaidiwa kuachana na dawa za kulevya.Baada ya kufanya mazungumzo na T.ID Paul
Makonda alisema “Mungu wetu hajalala na siku zote anampenda amtafutae, karibu
tena nyumbani T.I.D”
No comments:
Post a Comment