Baada ya masaa 5 ya shughuli ya kupiga kura,Mohamed
Abdullahi Farmajo alitangazwa mshindi katika uchaguzi nchini Somalia hapo jana
.
Farmajo alishinda kwa kura 184 na hivyo basi kuwa rais wa 9
wa nchi ya Somalia .
Rais mwendazake
Hassan Sheikh Mohamud alifuata kwa kura 97 kutoka kwa wabunge waliopiga
kura hiyo.
Farmajo atachukua usukani na kuongoza kwa awamu nne nchini
humo.
No comments:
Post a Comment