
Kiungo wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya taifa ya
Tanzania ‘Taifa Stars’ amefariki dunia alhamisi hii huko nyumbani kwao Mbeya.
Mchezaji huyo alikuwa amelazwa kwa muda mrefu hospitali ya
Rungwe-Tukuyu Mbeya alikokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati akicheza soka, Bonny aliwahi kuvitumikia vilabu vya
Tanzania Prisons na Yanga kwa vipindi tofauti pamoja na timu ya taifa ya taifa
ya Tanzania ‘Taifa Stars’.
No comments:
Post a Comment