Mashetani wekundu wa Manchester United wameibuka na ushindi
wa mabao 3-0 dhidi ya Saint-Etienne, mabao yote ya United yamefungwa na Zlatan
Ibrahimovic.
As Roma wakicheza ugenini wameshinda kwa mabao 4-0 dhidi ya
Villarrea, Tottenham Hotspurn wamepoteza mchezo ugenini kwa kuchapwa kwa bao
1-0 na Kaa Gent.
AZ Alkmaar wamelala nyumbani kwa kufunga 4-1 na Lyon,
wajerumani wa Borussia Moenchengladbach nao wamepoteza kwa Fiorentina kwa
kufungwa bao 1-0.
Athletic Bilbao wameshinda nyumbani kwa 3 - 2 dhidi ya Apoel
Nicosia, Celta Vigo wamechapwa na Shakhtar Donetsk kwa bao 1-0. Anderlecht
wameshinda 2 - 0 dhidi ya Zenit St. Petersburg.
Paok Thessaloniki wameshindwa kutamba nyumbani kwa kufunga
na Schalke kwa 3-0,
Matokeo mengine
Astra Giurgiu 2 - 2 Genk
Rostov 4 - 0 Sparta Prague
Ludogorets Razgrad 1 - 2 FC Koebenhavn
Olympiacos 0 - 0 Osmanlispor FK
Hapoel Beer Sheva 1 - 3 Besiktas
Legia Warszawa 0 - 0 Ajax
No comments:
Post a Comment