
Mazungumzo bain aya upinzani na serikali kusimamishwa hadi
baada ya mazishi ya kiongozi wa kihistoria wa upinzani DR Congo
Etienne Tshisekedi kiongozi wa kihistoria wa upinzani
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congon alifariki akiwa na umri wa mika 84 nchini
Ubelgiji.
Kiongozi huyo aliteuliwa na
baraza la kitaifa ambalo lilipewa
jukumu la ufuatiliaji wa uongozi wa
mpito kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi.
Serikali na upinzani
kwa ushirikiano na tume ya upatanishi kunako mzozo wa kisiasa
wamefahamisha kusimamisha mvutano wakisubiri kumalizika kwa mazishi ya Etienne
Tshisekedi aliefariki Februari 1 nchini Ubelgiji.
Hayo yalifahamishwa na kiongozi wa kanisa Donatian Nshole
ambea yumo katika tume ya upatanishi.
No comments:
Post a Comment