
BY @shaffih - Nikiwa njiani#afcon2017gabon nimekutana na
@diamondplatnumz kwenye flight moja,connection ya another flight to
Libreville-Gabon ilikuwa ni baada ya masaa 7,akanikaribisha nyumbani kwake
kupata chai ikiwa ni pamoja na kusalimia kidogo familia yake ambayo inaishi
hapa Pretoria-SA, asante sana shemeji @zarithebosslady pamoja na bi mkubwa wetu
Sandra. Photo credit @kendrah_michael. Now on our way to Gabon!!!
No comments:
Post a Comment