Wakati wakisubiri ujio wa mtoto wao wa kiume, Nillan, Zari
na Diamond walipiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini
Afrika Kusini.
Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February mwaka huu.
Kupitia Instagram, Mamas and Papas, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na
maoni tofauti.
Chini ni picha za siku waliyofanya photoshoot.
No comments:
Post a Comment